Header Ads

Breaking News
recent

AQUILINA NA WASANII WENGINE HAWA HAPA

TOP STORIES

Alichoandika Izzo Bizness, Feza Kessy na Steve Rnb kuhusu Mwanafunzi aliyepigwa Risasi

ADTECH GmbH (Master default)
on
Taarifa ambayo inshika headlines katika Mitandao ya Kijamii ni ya kifo cha Mwanafunzi wa Chuo cha NIT Aquillina Akwilini aliyepigwa risasi kifuani na Polisi na kupoteza maisha jana February 16, 2018 akiwa kwenye daladala zinaendelea kuenea kwenye mitandao ya kijamii.
Izzo Bizness, Feza Kessy na Steve Rnb wameandika kwenye mitandao yao ya kijamii na kuonesha kuguswa na tukio hilo la kuuawa kwa Binti huyo.




No comments:

Powered by Blogger.