Header Ads

Breaking News
recent

MSIBA WA AKWILINA WAGHARIMU MILIONI 80

TOP STORIES

Familia ya Akwilina yazungumzia Bajeti ya Msiba ya Milioni 80

on
Festo Kawishe ni Msemaji wa Familia ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini ambapo leo February 20, 2018  wamesema mazishi ya mwanafunzi huyo yatagharimu Shilingi Milioni 80.
Akizungumza na AyoTV na millardayo.com amesema bajeti hiyo wakati wowote inaweza kubadilishwa mana bado hawaja kaa na serikali na wakikaa wataijadili.
TAZAMA LIVE JINSI GSM MALL WALIVYOMPATA MSHINDI WA KWENDA DISNEY HONG KONG NA FAMILIA YAKE

No comments:

Powered by Blogger.