Header Ads

Breaking News
recent

DIAMOND ALICHOKISEMA BAADA YA KUACHANA NA ZARI

HABARI ZA MASTAA

Zari “Utakoma tu mwenzangu”

on
Ikiwa leo ni siku ya tatu toka Zari atangaze rasmi kuachana na mzazi mwenzakeDiamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram. Leo February 17,2018 kupitia mtandao wa Snapchat wa Zari ameandika caption ambayo inatafsirika ni ujumbe kwa Diamond Platnumz.
Zari the boss lady ameandika “Utakoma tu mwenzangu” akiwa anaangalia wimbo waSikomi wa Diamond Platnumz kwenye Tv.
Ulipitwa na memento ya Rayvanny ??”Shemela rudi Mama utatuua”

No comments:

Powered by Blogger.