Header Ads

Breaking News
recent

MBUNGE MTEULE JIMBO LA SIHA


TOP STORIES

BREAKING: Huyu Ndiye Mbunge Mteule wa Jimbo la Siha

ADTECH GmbH (Master default)
By
on
Stori kubwa inayoshika headlines leo nchini ni kuhusu uchaguzi wa marudio katika Majimbo mawili Siha na Kinondoni muda huu nakusogezea Matokeo katika Jimbo la Siha ambapo Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro Valerian Juwal amemtangaza Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCMDr. Godwin Molel kuwa mshindi katika uchaguzi wa Jimbo hilo uliofanyika February 17, 2018.
Dr. Molel amepata kura 25611 akifuatiwa na Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Elvis Mosi aliyepata kura 5905 huku Mgombea wa Chama cha Wananchi CUF Tumsifuel Mwanri akipata kura 274 na wa Chama cha SAU yeye akipata kura 170.
Valerian ametangaza Dr.Godwin Molel kuwa Mbunge Mteule wa Siha kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

No comments:

Powered by Blogger.