Header Ads

Breaking News
recent

MAAGIZO YA RAIS MAGUFULI KWA VYOMBO VYA DOLA

TOP STORIES

Maagizo ya Rais Magufuli kwa Vyombo vya Dola kwa Waliosababisha Akwilina Kupigwa Risasi

ADTECH GmbH (Master default)
By
Armando babu 
on
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli Leo February 18, 2018 ameonesha masikitiko yake kwa Mwanafunzi wa chuo cha NIT Akwilina Maftah ambaye alipigwa Risasi katika maandamano yaliyofanyika February 16, 2018.
Kupitia Ukurasa wake wa Twitter President Magufuli ame-tweet ujumbe wa kutoa pole kwa familia, ndugu na Wanafunzi wote wa NIT pamoja na Watanzania walioguswa na Msiba huu.
Namnukuu President Magufuli “Nimesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT). Natoa pole kwa familia, ndugu, wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu. Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hili.”

No comments:

Powered by Blogger.