Header Ads

Breaking News
recent

MHUBIRI WA KIMATAIFA BILL CRAHAN AFARIKI DUNIA

TOP STORIES

Mhubiri maarufu Bill Graham afariki dunia

on
Habari kutoka nchini Marekani, ni kwamba Mhubiri maarufu duniani Bill Grahamamefariki dunia, akiwa na miaka 90 leo February 21, 2018.
Mhubiri Graham amefariki akiwa nyumbani kwake Montreat, North Carolina. Inaelezwa kuwa Mhubiri huyu alianza kazi hiyo ya kuhubiri akiwa na umri wa miaka 16 na kufanywa rasmi kuwa mchungaji mwaka 1939, hadi kufikia miaka 60 inakadiriwa kuwa alikuwa amewahubiria watu milioni 210 duniani kote.
Bill Graham ni baba mzazi wa Mkurugenzi wa Shirika la Samaritan Purse Franklin Graham wa Marekani. Shirika ambalo liligharamia kukodisha ndege maalumu aina ya DC 8 kupeleka wanafunzi waliojeruhiwa katika ajali ya wanafunzi wa Lucky Vincent Karatu Arusha, mwezi May 2017.

No comments:

Powered by Blogger.