Header Ads

Breaking News
recent

Hatimaye Pogba aondolewa kwenye kikosi

MICHEZO

Pogba ameondolewa kwenye kikosi ghafla

ADTECH GmbH (Master default)
on
Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea Man United ya England Paul Pogbaameondolewa kwenye kikosi cha Man United ambacho kilikuwa kinatarajiwa kucheza game ya FA dhidi ya Huddersfield.
Imeripotiwa kuwa Pogba ameondolewa kwenye kikosi kinachotarajia kucheza game ya FA dhidi ya Huddersfield leo saa 20:00 kwa saa za Afrika Mashariki, baada ya kuugua ghafla lakini ugonjwa wake haujatajwa.
Kwa mujibu wa mtandao wa standard.co.uk umeripoti kuwa  ugonjwa wa Pogba haujatajwa anasumbuliwa na tatizo gani lakini nafasi yake amepewa Ethan Hamiltonmchezaji wa Man United wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 23
Hata hivyo kabla ya kuripotiwa kwa taarifa za kuondolewa kwa Pogba kikosini, kuna stori kuwa Pogba hana furaha na nafasi anayochezeshwa na Jose Mourinho katika kikosi chaMan United na imeripotiwa kuwa hawapo katika mahusiano mazuri kwa sasa

No comments:

Powered by Blogger.