Header Ads

Breaking News
recent

NABII TITO NA UGONJWA WA AKILI

TOP STORIES

Mambo makubwa matano yaliyotokea kwenye kesi ya NABII TITO

ADTECH GmbH (Master default)
on
Stori kutokea Dodoma leo February 19, 2018  ni pamoja na hii ya Mahakama ya Wilaya mkoani humo Kumuamuru tena Mkuu wa Gereza la Isanga kumpeleka hospitali kuu ya magonjwa ya akili (Milembe) Tito Onesmo Machibya maarufu kama NABII TITO ili kubaini kama kweli anatatizo la akili baada ya agizo hilo kutotekelezwa mwanzo.
Katika kesi yake hiyo nimekuchambulia mambo makubwa matano ambayo yamejitokeza kwa Nabii Tito na hutakiwi kuyakosa.
UTEUZI ULIOFANYWA NA RAIS MAGUFULI LEO FEBRUARY 19, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

SOMA NA HIZI

No comments:

Powered by Blogger.