Header Ads

Breaking News
recent

BANDARI NDONDO CUP KUANZA LEO


MICHEZO

Kutoka uwanja wa Bandari Ndondo Super Cup imeanza leo

on
Michuano ya Ndondo Super Cup 2018 imeanza leo kwa kuzikutanisha timu za Itezi United ambao ni Mabingwa wa Ndondo Cup 2017 jijini Mbeya wakicheza na Goms United ya Gongolamboto katika uwanja wa chuo cha Bandari.
Game hiyo ya kwanza ambayo ni mtoano imemalizika kwa Goms United kupata ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Itezi United ya Mbeya, hivyo ushindi huo umeipeleka fainali Goms United.
Baada ya game hiyo kesho uwanja wa Kinesi itapigwa game nyingine ya Ndondo Super Cup kati ya Misosi FC dhidi ya Mnadani FC ya Mwanza, mshindi wa game hiyo atacheza dhidi ya Goms United fainali na atakayepoteza atacheza game ya mshindi wa tatu dhidi ya Itezi United.
Mastaa wa soka Bongo Niyonzima, Kaseja, Okwi, Manula na Himid w

No comments:

Powered by Blogger.