Header Ads

Breaking News
recent

ALICHOKISEMA MKE WA ROMA BAADA YA MUMEWE KUFUNGIWA MIEZI SITA

HABARI ZA MASTAA

Alichozungumza Mke wa Roma Baada ya Mumewe kufunguiwa Miezi 6 na BASATA

Siku ya leo March 1, 2018 zimeripotiwa taarifa za kufungiwa Miezi 6 kwa msanii Roma Mkatoliki kutojihusisha na muziki kwa kosa la kutotii agizo la Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo lililomtaka kubadili maudhui ya wimbo wake wa ‘kibamia’.
Baada ya Taarifa hizo mapaparazi wetu wamemtafuta Roma Mkatoliki bila mafanikio na ndipo zikampata mke wa Roma ambaye amesema kwamba Roma alienda South Africa kwaajili ya kushoot video mpya lakini kuhusu taarifa za kufungiwa ndo kwanza anazisikia japo awali Barua ya wito aliipata.
Kwa kweli sizifahamu halafu ayupo kasafiri, walikuwa wameenda ku-shoot South, hizo taarifa ndo nazisikia kwako, nilichosikia ni kwamba ameitwa BASATA” -Mke wa Roma
Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza MKE WA ROMA akielezea.

‘Quick Rocka hanipangii cha kufanya, ananisikiliza ninachomwambia’

No comments:

Powered by Blogger.