Header Ads

Breaking News
recent

Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

New
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu na kwa sauti kubwa bila majibu yoyote. Hivi kungonoka ni hitaji muhimu la binadamu au watu tunajiendekeza tu? Kwani ku-du ni lazima? 

Nauliza hivi kwa sababu kuna makundi ya watu kwenye jamii ambao hawafanyi ngono lakini maisha yao yako freshi tu. Tuchukulie kwa mfano mapadri na watawa ambao hawafanyi ngono maisha yao yote. Mbona wako poa tu?

Black-couple-kissingURBAN-GYAL.jpg

Kuna baadhi ya wanaume (mimi nikiwemo) haipiti wiki moja bila kuloweka mashine zao kunako papuchi; hata kama ukiamua kujilazimisha, mwili hukataa kabisa. Sina uhakika wanawake wanaweza kusurvive kwa siku ngapi pasipo kudinywa lakini uzoefu unaonyesha nao pia huhitaji kupachikwa mashine mara kwa mara ili wakae sawa. Ndio maana wanafunzi wa kike wanaoishi mabwenini huku wakifungiwa ndani bila kuruhusiwa kutoka nje ya shule au chuo kuna kipndi huehuka na ku-behave kama watu waliopandisha mapepo; na wakiruhusiwa kutoka nje na kujumuika na “boy friends” wao huko down town “mapepo” yao huisha mara moja.

Wanawake mliomo humu mtatupa uzoefu wenu. Kuna mtaalam mmoja aliwahi kuniambia kwamba wasichana na wanawake wanaweza kukaa muda mrefu zaidi pasipo kushiriki tendo ukilinganisha na wanaume. Ngoja tusiandikie mate wakati wino upo. Kwa kuwa tunao ke wa kutosha humu ndani, ni matumaini yangu kwamba mtatupa uzoefu wenu. Je, mwanamke ana uwezo wa kusurvive kwa muda gani pasipo kunyooshwa viungo? Je, wanaume mnaweza kukaa (maximum) siku ngapi bila kuhondomola? Na je, kuna ushahidi wowote unaoonesha kwamba mwanadamu asipongonoka atatudhurika (kiafya, kisaikolojia, etc)? Hebu tupeane uzoefu.

No comments:

Powered by Blogger.