Header Ads

Breaking News
recent

MAUZO YA HISA KATIKA SOKO LA DAR KUSHUKA RASMI

Screenshot_2018-03-12-20-06-39.png 

Screenshot_2018-03-12-20-06-39.png

#DewjiBlogNews: Mauzo ya Hisa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kuanzia wiki iliyoishia Machi 2 hadi 9, 2018 yameshuka kutoka Sh. bilioni 2.9 hadi kufikia milioni 518, vile vile idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa katika soko hilo imeshuka kutoka hisa milioni 2.4 hadi hisa laki 6.9

No comments:

Powered by Blogger.