Header Ads

Breaking News
recent

Bibi harusi amkimbia bwana harusi baada ya kugundua si muhasibu wa shirika la mafuta kama alivyoaminishwa awali

New
mke akimbia nje ya kanisa wakati wa kufunga doa baada ya kugundua
Mchumba wake ambaye anafunga naye ndoa alimdanganya kuwa anafanya kazi shirika la mafuta na ni muhasibu, baada ya dada huyo kugundua hayo akatimua bila hata kusubiria kuvaa pete, yametokea zambia baada ya mwanaume kudanganya ni muhasibu wa TAZAMA
Swali je alikuwa anaolewa na shirika la mafuta au mwanaume??

Wito kwa madada si kila anayevaa suti ana kazi nzuri,

Wa dada si kila anayechomekea na kuvaa suruali ya kitambaa anafanya kazi benki

Wa dada si kila anayevaa miwani ni daktari hahaha

Acha tamaa,

Habari yenyewe hii hapa
Wonders!!!!

Bride Run Out Of Church After Discovering that the man does Not Work In An Oil Company Like He Claimed

It begs the cardinal question, Was she marrying the man or the Company?
Screenshot_2018-03-24-08-07-08.png
FB_IMG_1521868044745.jpg FB_IMG_1521868042037.jpg FB_IMG_1521868038756.jpg

No comments:

Powered by Blogger.