Header Ads

Breaking News
recent

Tanzania: Ugonjwa wa Dengue umerejea nchini baada ya wagonjwa 11 kugundulika jijini Dar es Salaam

Ugonjwa wa dengue umerejea nchini baada ya wagonjwa 11 kugundulika jijini Dar es Salaam.

Taarifa kutoka Wizara ya Afya, Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto zinaeleza kuwa homa ya ugonjwa huo imegundulika baada ya wagonjwa kadhaa waliokuwa na dalili zake kupimwa na kuthibitishwa.


Kutokana na hilo, ili kuudhibiti, serikali imeanza karantini ya kuzuia kuenea kwake kwa kuweka vituo vya uchunguzi wa awali na tiba katika mikoa ya Dar es Salaam na Tanga.

Wagonjwa hao waligundulika katika Hospitali ya Ocean Road.

Tahadhari imetolewa kwa wananchi kupima afya haraka wanapohisi wana homa Kali, mafua na kuumwa kichwa kwa muda, ambazo ni dalili kubwa za homa ya dengue.

Mara ya kwanza ugonjwa wa homa ya dengue uligundulika Dar es Salaam mwaka 2014, ambapo wagonjwa 400 waliupata. Walitibiwa na kupona, isipokuwa watu watatu ndiyo walifariki dunia.

Vimelea vya ugonjwa wa homa ya dengue husambazwa na mbu kama ilivyo kwa malaria. Hivyo wananchi wanahimizwa kuua mazalia ya wadudu hao haraka.

Utafiti wa kitabibu unaonesha kuwa mbu wanaopatikana maeneo ya pwani ndiyo hubeba zaidi vimelea vya ugonjwa wa homa ya dengue.

Hadi sasa hakuna tiba ya uhakika ya ugonjwa huo, na inaelezwa kuwa wataalamu wa afya wanaendelea kuitafuta.

Dengue fever outbreak confirmed in Tanzania - Xinhua | English.news.cn

-----

Dengue.jpg
Mwaka 2010, ugonjwa wa Dengue uliripotiwa kuingia Tanzania. Soma =>Ugonjwa wa Dengue umeingia Tanzania; Soma chanzo,dalili,tiba na jinsi ya kujikinga

Mwaka 2013, Wizara ya Afya ilitoa taarifa kuelezea kuhusu chanzo, dalili,tiba na jinsi ya kujikinga na Ugonjwa wa Dengue. Zaidi soma =>Wizara ya Afya: Taarifa kwa umma kuhusu ugonjwa wa homa ya dengue

Mwaka 2013, ugonjwa wa Dengue uliripotiwa kuingia jiji la Dar. Zaidi soma => TAHADHARI: Ugonjwa wa 'dengue' waingia Dar es Salaam!

Ugonjwa wa Dengue ulimuua Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili, Dk Gelbert Buberwa. Soma=> Homa ya Dengue Yaua Daktari Bingwa Dar

Mwaka 2014, Serikali ilitenga TZS 500/- kwa ajili ya kunyunyiza dawa za kuua mazalia ya mbu kwenye maeneo chepechepe jijini Dar-es-salaam, katika jitihada za kukabiliana na ugonjwa wa Dengue. Zaidi soma => Serikali yatenga TZS 500M za kupambana na ugonjwa wa Dengue

Wananchi walilalamikia gharama za kupima ugonjwa wa Dengue kuwa kubwa. Zaidi soma => Upimaji homa ya Dengue Unafikia elfu Hamsini!

Maoni ya Mhariri => Maoni ya Mhariri: Serikali ilifanya siri ugonjwa wa dengue

Kuna waliokuja na mawazo hasi kuwa ugonjwa wa Dengue ni mradi wa mtu. Soma=> Ugonjwa wa Dengue ni siasa na mradi wa mtu...

Pia soma => Mkanganyiko kuhusu matumizi ya Mbegu za papai kama kinga ya ugonjwa wa Dengue!

For the English, AudienceDengue Fever is back in Tanzania with 11 patients already diagnosed with the Fever at Ocean Road Hospital. An official report from the Ministry of Health, Gender, Community Development and Children confirms the news and announces the set up of Quarantines in Dar es Salaam and Tanga.

This is the third time a Dengue fever outbreak hits Tanzania. The first time was in June 2010, when 40 people were diagnosed and treated. The second and larger outbreak was in 2014 when around 400 people were infected and 3 died including a Mental Health Specialist, Dr Gelbert Buberwa.

Dr Gilbert Buberwa, a 36-year old medical specialist at the Temeke regional hospital in the city was reportedly caught it while attending to the patients.

In 2014, the biggest complaint from citizens was that the test for the fever was pricey(About 50,000 Tshs) at private hospitals and even though they were free at Government hospitals, they had a limit of 10 to 15 tests only per day which forced them to use the former.

Dengue's symptoms are fever, headaches, joint pains and tiredness and they may occur 3 to 14 days after getting infected with the Virus. These symptoms are similar to Malaria Symptoms and the Ministry has urged citizens to get checked when they occur.

As it is mosquito-borne disease, it is advised to destroy the mosquito population in and near human lodgings as the best prevention method. People in coastal areas are at a higher risk of Dengue infection.

The Ministry of Health, Gender, Community Development, the Elderly and Children has said that surveillance sites will be set up in Dar es Salaam and Tanga.

The ministry in collaboration with the National Institute for Medical Research (NIMR) and the two clinics will continue to make the diagnosis to uncover more cases of the disease if any.

In the aftermath of the last outbreak, the World Health Organisation (WHO) issued a global alert on the rise of vector-borne diseases, urging travellers to take precautions after it emerged that almost half of the world’s population was at risk to be infected by the virus.

According to the US-based Centre for Disease Control (CDC), most people infected have mild or no symptoms and about one in four display high fever as the main symptom.

Mild symptoms of dengue may be confused with other illnesses that cause fever and flu-like illness, CDC says.

Because there is no medicine or vaccine for dengue, health experts recommend prevention by preventing mosquito bites. Mosquitoes that spread dengue virus bite during the day and night.

No comments:

Powered by Blogger.